Aguero akifanya mambo
Ziara ya Man City panapo nchi ya Malaysia jana ndio ilifikia ukingoni huku Mabingwa hao wa Uingereza wakitoka kifua mbele kwa magoli 3.
Carlos Tevez
Wakiwa wanacheza katika uwanja wa taifa wa Malaysia kuala Lumpur, City walipata mabao yao kupitia kwa Sergio Aguero katika kipindi cha kwanza na baadae katika kipindi cha pili Aguero alitoa pasi za magoli ambayo yakafungungwa na Carlos Tevez na Adam Johson.
wakishangilia goli
Aguero ndio alikuwa star wa mchezo kwani aliweza funga goli moja na kisha kutengeneza mawili. Karibia na mpira kumalizika Malaysia nao walipata Goli la kufutia machozi.
mashabiki
No comments:
Post a Comment