Kocha wa manchester united Sir Alex ferguson amemshuhudia mchezaji huyo akiichezea timu ya taifa ya Brazili dhidi ya New zealand katika mashindano ya Olimpiki yanayoendelea katika jiji la London nchini Uingereza na anatarajia kufanya mazungumzo ya kukamilisha uhamisho huo ifakapo Alhamisi ijayo.
Friday, August 3, 2012
MANCHESTER UNITED MBIONI KUKAMILISHA USAJILI WA LUCAS MOURA KUTOKA SAO PAULO BRAZIL
Kocha wa manchester united Sir Alex ferguson amemshuhudia mchezaji huyo akiichezea timu ya taifa ya Brazili dhidi ya New zealand katika mashindano ya Olimpiki yanayoendelea katika jiji la London nchini Uingereza na anatarajia kufanya mazungumzo ya kukamilisha uhamisho huo ifakapo Alhamisi ijayo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment