BUKOBA SPORTS

Sunday, August 26, 2012

MKURUGENZI WA UZALISHAJI WA VIPINDI WA CLOUDS MEDIA - RUGEMALILA MUTAHABA AMKABIDHI MSHINDI WA GARI LA SERENGETI FIESTA 2012 MOSHI


Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group,Rugemalila Mutahaba(kulia),akikabidhi funguo na fairi la gari hiyo kwa mshindi wa Serengeti Fiesta 2012 Moshi.
Mshindi wa gari hiyo, Adam Ramadhan Gogo baada ya kukabidhia gari

No comments:

Post a Comment