BUKOBA SPORTS

Tuesday, August 7, 2012

YANGA WATINGA BUNGENI NA KOMBE LAO LA KAGAME!


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa timu ya Yanga ambao walipeleka Kombe la Michuoano Kagame Bungeni Augost 6, 2012. Kushoto kwake ni Mama Fatuma Karume, na Waziri George Mkuchika.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment