BUKOBA SPORTS

Tuesday, August 7, 2012

BOCA AMRITH STEWART HALL KUINOA AZAM FC


Azam FC leo imemtambulisha kocha Boris Bunjak "BOCA" mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 20 kwenye fani yaukocha kuwa kocha mkuu mpya wa Azam FC akirithi mikoba ya Stewart Hall aliyesafiri kwenda nchini Uingereza janabaada ya kuisha kwa mkataba wake.

No comments:

Post a Comment