JACOB STEVEN (JB)MZEE MAGARI
MSANII mahiri wa filamu na maigizo nchini, Charles Magari, maarufu kama ‘Mzee Magari’ Ameongea na BUKOBA SPORTS kupitia Zachwa Investment kwamba atakuwepo siku hiyo, na amewataka watu wote wa Bukoba Kagera wajiandae kumpokea.Msanii Rose
MSANII mahiri anayefanya vizuri kwenye tasnia ya filamu bongo Rose Ndauka, asema kuwa baada ya kuwa kambini kwa muda mrefu akitengeneza kazi ambazo awali alizitaja sasa zimekamilika na Octoba zinaenda sokoni ambazo ni ‘Upofu’ na ‘Special Cover’ huku zote zikiwa zimefanyika chini ya kampuni yake inayojulikana kama Ndauka Entertainment.
Amezungumza jioni hii na mkuu wa kitengo cha Zachwa Investiment kuwa naye anategemewa kushuka mjini Kagera hiyo tarehe 5 mwezi wa kumi 2012 na ametaka kuja kuwaona mashemeji zake waishio hapa mjini Bukoba.
Pia baada ya kutengenezewa Mazingira mazuri amedai kuwa Bukoba wakae tayari anaomba wakae tayari kumpokea kwa kishindo ili aje kuwaonesha vitu vya uwakika.
JACKLINE WOLPER
BMW X6 ni aina ya gari la JACKLINE WOLPER na wenda anategemea kuliwasha kwa ajili ya safari za hapa na pale mjini hapa Bukoba siku ikifika ambayo itakuwa ni ijumaa tarehe 5
NIKITA ambaye alishawahi kupata tuzo ya muigizaji bora wa kike chipukizi amebainisha kuwa na yeye atakuwepo mjini hapa Bukoba.
MSANII KELVIN NAYE ATAKUWEPO SIKU HIYO
KANGA MOKO NDEMBENDEMBE - NAO WATAWASHA MOTO MJINI BUKOBA

No comments:
Post a Comment