Hii inakumbusha mwaka 2008 kwa hizi goli 8 Samba alivyofanya vituzz..
MAGOLI YA BRAZIL
′ Ramires dk 23
′ Neymar dk 26
′ Lucas dk 49
′ Hulk dk 52
′ Neymar dk 54
′ Neymar dk 60
′ (Kajifunga mwenyewe) Jianye Liu dk 70
′ Oscar dk 76
Akielezea kutofurahishwa kwake na kuzomewa na Mashabiki wa Brazil, Neymar alisisitiza: “Mimi si mashine!”
Neymar, Mwenye Miaka 20 tu, amedokeza kuwa huenda Mashabiki wanategemea vitu vikubwa toka kwake na amesema: “Nilijisikia naumwa kwa yale yaliyotokea kwenye Mechi na Afrika Kusini. Mie sio mashine. Nilijisihi kuchoka baada ya Mechi na Afrika Kusini, kimwili na kiakili. Nataka niendelee kucheza tu na kuisaidia Santos na Brazil!”
vijana wa Brazil wakishangilia ushindi usiku wa kuamkia leo baada ya kuitwanga goli 8-0 china
kikosi kilichoiangushia kilio china leo hii.
kwa hisani soka in bongo
No comments:
Post a Comment