Wayne Rooney anaamini kwamba ubora wa Robin Van Persie utarazimisha washambuliaji wengine kujituma na kuipa ushindi na mafankio timu ya Manchester united.RVP anaouwezo mzuri tu na mpaka sasa ameweza kuziona nyavu mara 4 katika mechi mbili za ligi kuu tangu alipotua Old trafford. Akitokea Arsena kwa pauni milioni 24. Kabla ya kupata majeraha Rooney alianzia benchi katika mechi dhidi ya Fulham ambayo Van Persie alicheka na nyavu.
"kila mtu anajua kwamba ni mchezaji wa daraja la juu duniani" aliongeza. "Anao uzoefu mkubwa na anavyocheza utamgundua kwamba anatafuta mabao.
RVP mbele, Sir Alex Ferguson(kushoto) na Wayne Rooney (kulia)
NIKUKUMBUSHE RVP ALIVYOTUA MANCHESTER UNITED HIVI KARIBUNI

Hapa alikuwa anaenda hospitali kuchekiwa vipimo vyake katika hospitali ya
Bridgewater angalia picha ya chini utaona zaidi.


Hapa napo si unapakumbuka

Rio Ferdinand akiwa mbele wachezaji wa Man united wakifanya mazoezi
No comments:
Post a Comment