Mashabiki wa timu ya Simba wakifuatilia mchezo kati ya timu hiyo na Azam FC, uliochezwa Uwanja wa Taifa kuwania Ngao ya Hisani, Dar es Salaam jioni hii.(PICHA NA KASSIM MBAROUK)
Ramadhan Chambo 'Redondo' wa Simba (kulia), akiwania mpira na Abdulhalim Humud wa Azam FC.Mashabiki wa Simba
No comments:
Post a Comment