MJENGO MPYA MAKAMU WA RAISI KENYA NI KUFURU..NA HIKI NDICHO WANACHOSEMA WAKENYA.
Kenyan Post wametoa hizi picha za nyumba ya Makamu wa Rais wa Kenya Kalonzo Musyoka, ni nyumba iliyogharimu milioni 400 za Kenya mpaka kukamilika na ipo kwenye eneo la heka kumi huko Karen.
No comments:
Post a Comment