Msanii anayefanya vizuri sana katika game la muziki wa R&B kutoka pande za state.Huyu si mwingine anafahamika kwa jina la Chris brown.Msanii huyu siku za hivi karibuni alionekana amepiga new tatoo katika shigo yake.tatoo hiyo ilizua sana maneno kutoka kwa watu kwamba ni sura ya msanii ambaye anafanya game la muziki American anafahamika kwa jina la Rihanna.Tatoo hiyo mbali na kufananishwa na Baby Riri pia wadau wameenda mbali zaidi kua inafanana nae hasa kipindi kile alicho mtwanga vitasa nakumlight Off Kisura huyo.Mpaka sasa Chris Brown ajaongea chochote husiana na maana ya tatoo hiyo.
Icheki vizuri hiyo Tatoo kisha mtazame Baby Riri then toa Maoni yako.
No comments:
Post a Comment