Mpira umemalizika, Young Africans 3 - 1 African Lyon
Canavaro dkk 16, Nizar dkk 65, 89
Benedict 64
Stephano Mwasika anaingia kuchukua nafasi ya Oscar Joshua dakika ya 89 Canavaro dkk 16, Nizar dkk 65, 89
Benedict 64
Dakika ya 89, Nizar Khalfan anaipatia Young Africans bao la tatu Young Africans 3 - 1 African Lyon
Nizar Khalfan anaipatia Young Aficans bao la pili dakika ya 65
Young Africans 2 - 1 African Lyon
Dakika ya 64, Benedict anaipataia African Lyon bao la kwanza
Dakika ya 60, Young Africans 1 - 0 African Lyon
Cannavaro dkk 16
Dk ya 58 yanga wanafanya mabadiliko anatoka kiiza na anaingia Bahanuzi
Kipindi cha pili cha mchezo kimeanza, Young Africans 1 - 0 African Lyon
Mpira ni mapumziko Yanga 1- 0 African Lyon
Dakika ya 30, Young Africans 1-0 African Lyon
Cannavaro dkk 16
Dakika ya 16, Nadir Haroub 'Cannavaro' anaipatia Young Africans bao la kwanza
Dakika ya 15, Young Africans 0 - 0 African Lyon
Mpira umeanza hapa Uwanja wa Taifa, kati ya
Young Africans Vs African Lyon
No comments:
Post a Comment