BUKOBA SPORTS

Saturday, September 29, 2012

TANZANIA LIVE MUSIC FESTIVAL ILIVYOFANA JANA LEADERS

Mashauzi wakishambulia
Tamasha la muziki Tanzania, (Tanzania Live Music Festival) lililofanyika usiku wa kuamkia leo katika viwanja vya Leaders, Kinondoni, Dar es Salaam, likishirikisha bendi zaidi ya saba na wasanii wengine mbalimbali, lilifana ingawa halikuhudhuriwa na watazamaji wengi.
Bendi za Sikinde, Msondo, B. Band, Mashujaa Band, Akudo Impact, FM Academia, Mashauzi Classic na Wazee Sugu zilitumbuiza kwa wakati tofauti jukwaani na kukonga nyoyo za mashabiki wachache waliojitokeza.


FM Academia jukwaani

Ngwasuma

Wanenguaji wa FM

Mashauzi Classic

MC wa jana Ben Kinyaiya na shabiki wake

Mashabiki kwa raha zao

Mashabiki kwa raha zao

Ktime na Wolper

No comments:

Post a Comment