Bao la Dakika ya 90 la Cristiano Ronaldo limewapa ushindi Real Madrid wa bao 3-2 dhidi ya Manchester City baada ya kutoka nyuma mara mbili na kusawazisha huku bao la pili wakifungwa katika Dakika ya 85 kwa frikiki ya Kolarov iliyombabatiza Xabi Alonso na kumhadaa Kipa Casillas.
Ronaldo akiipatia ushindi Real Madrid dhidi ya Man city Jana usiku
Mourinho na kundi lake baada ya ushindi wao wa jana wa 3-2 baada ya Ronaldo kufunga dk ya 90
Da....wamerudisha ......basi bwana ushindi wao....
Kinyume na Mchezo ulivyokwenda wakiwa wamezidiwa sana na ni uhodari wa Kipa Joe Hart ndio uliwaweka hai, Man City walitangulia kufunga katika Dakika ya 68 kwa bao la Dzeko na Real kurudisha Dakika ya 76 kwa bao la Marcelo.
VIKOSI
Real Madrid: Casillas, Varane, Pepe, Marcelo, Arbeloa, Khedira, Alonso, Essien, Di María, Ronaldo, Higuaín
Akiba: Adan, Sergio Ramos, Fabio Coentrao, Kaka, Benzema, Ozil, Modric.
Manchester City: Hart; Maicon, Kompany, Nastasic, Clichy; Javi Garcia, Barry; Nasri, Yaya Toure, Silva; Tevez.
Akiba: Pantilimon, Lescott, Zabaleta, Kolarov, Rodwell, Aguero, Dzeko
Refa: Damir Skomina (Slovenia)
MATOKEO MECHI ZOTE ZA JANA USIKU
- AC Milan 0 - 0 Anderlecht
- Borussia Dortmund 1 - 0 Ajax
- Din Zagreb 0 - 2 FC Porto
- Malaga 3 - 0 Zenit St P'sbg
- Montpellier 1 - 2 Arsenal
- Olympiakos 1 - 2 Schalke 04
- Paris SG 4 - 1 Dynamo Kiev
- Real Madrid 3 - 2 Man City
MECHI ZIJAZO Jumanne Oktoba 2 Juventus - FC Shakhtar Donetsk FC Nordsjælland - Chelsea FC Valencia CF - LOSC Lille FC BATE Borisov - FC Bayern München SL Benfica - FC Barcelona FC Spartak Moskva - Celtic FC CFR 1907 Cluj - Manchester United FC Galatasaray A.S. - SC Braga Jumatano Oktoba 3 FC Dynamo Kyiv - GNK Dinamo FC Porto - Paris Saint-Germain FC FC Schalke 04 - Montpellier Hérault SC Arsenal FC - Olympiacos FC RSC Anderlecht - Málaga CF FC Zenit St. Petersburg - AC Milan Manchester City FC - Borussia Dortmund AFC Ajax - Real Madrid CF |
---|
No comments:
Post a Comment