Katika Mechi hii, Atletico Madrid walionyesha wako hatari na wepesi sana wakinasa mpira na kuanza mashambulizi ya haraka,
'kaunta ataki', ambazo kila mara zilionyesha udhaifu mkubwa wa Difensi ya Chelsea iliyokosa umoja na mbinu za kuwakabili Atletico.
Leo Mtu 4 za Difensi ya Chelsea walikuwa ni Ivanovic, Cahill, Luiz na Cole.
Chelsea wakioneka wamechoka hawana hili wala lile....kwisha .
Hat-trick ya Falcao ilisaidia kuwanyamazisha na kuwachosha Chelsea na Athletico Madrid kuibuka na ushindi wa goli 4-1 dhidi ya Chelsea jana usiku.
Miranda akitupia goli la nne kwenye nyav.
MAGOLI
Atletico
Falcao dk(6, 19 na 45) - Miranda dk(60)
Chelsea
Gary Cahill dk(75)
No comments:
Post a Comment