BUKOBA SPORTS

Saturday, September 29, 2012

UZINDUZI WA SUPER SPORT KUTANGAZA LIGI KUU YA TANZANIA KWA MAJARIBIO

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Leodegar Tenga (kulia) akizungumza na watangazaji maarufu wa Kampuni ya Super Sport ya Afrika Kusini, Thomas Mlambo (kushoto) na Thomas Kwenaite wakati wa hafla ya uzinduzi wa kampuni hiyo kuanza kwa majaribio kutangaza baadhi ya michezo ya Ligi Kuu ya Vodacom nchini katika hafla iliyofanyika Dar es Salaam jana. (PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA)
Tenga na Mlambo wakiendelea kuuzungumza

Katibu Mkuu wa TFF, Angetile Osiah (katikati) akihojiwa na watangazaji hao
Mtangazaji wa Super Sport, Thomas Kwenaite (katikati) akiwahoji Makamu Mwenyekiti wa Simba, Abdalah Nyange 'Kaburu' na Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga, Lawrence Mwalusako
Crew ya Super Sport


Tenga akijadiliana jambo na baadhi ya viongozi wa TFF

Tenga akisalimiana na Mtangazaji wa Super Sport Tanzania, Kaijage alipokuwa akizungumza na Mkuu wa Super Sport Afrika, Andre Veute

Mtangazaji Mlambo wakionoza hafla hiyo



Meneja Mkuu wa Multchoice Tanzania, Peter Fauel akizungumza wakati wa hafla hiyo
Kaburu wa Simba akiteta jambo na Mwalusako wa Yanga



Meneja Masoko wa Multichoice Tanzania Bi. Furaha Samalu akiiwa na watangazaji wa kipindi cha Africa Soccer Show wakati wa halfa hiyo.
Mkuu wa Super Sport Afrika, Andre Venter, akifafanua jambo wakati wa hafla hiyo

wATANZANIA WATANGAZAJI WA Super Sport kwa kiswahili Florian Kaijage (kushoto) na Ndimbo wakiwa katika hafla hiyo

Meneja Uhusiano wa Multchoice Tanzania, Barbara Kambagi (katikati) akiwa na baadhi ya wageni waalikwa na wafanyakazi wenzie .

No comments:

Post a Comment