BUKOBA SPORTS

Saturday, September 29, 2012

VODACOM PREMIER LEAGUE: AZAM FC "WANA LAMBALAMBA" WAIMALIZA JKT RUVU 3-0 PINTI 3 ZAWAWEKA KILELENI!

John Bocco Adebayor celebrating one of Azam goals

Azam FC ‘Wana Lambalamba’ imekwea kilele cha Ligi Kuu Bara, rasmi kama Ligi Kuu Vodacom, baada ya jana kuichapa JKT Ruvu 3-0 kwenye Mechi iliyochezwa Usiku Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam na kurushwa moja kwa moja na Kituo cha TV cha SuperSport.
John Bocco ndie alieifungia Azam bao la kwanza kwa Penati kabla Kipindi cha Kwanza kumalizika.
Katika Dakika ya 66 Kipre Tchetche alipiga bao la pili kwa kichwa na Bolou Kipre kupiga bao la 3 katika Dakika ya 82.
Ushindi huo umewafanya Azam washike nambari wani wakiwa na Pointi 10 kwa Mechi 4 huku Simba wakiwa nafasi ya pili wakiwa na Pointi 9 kwa Mechi 3.
Vodacom Premier League itaendelea leo Simba SC which has camped in Zanzibar will be at National Stadium to play against Tanzania Prisons from Mbeya City.

No comments:

Post a Comment