BUKOBA SPORTS

Wednesday, September 26, 2012

WAREMBO WA REDD'S MISS TANZANIA KUINGIA KAMBINI OCTOBER 2, FAINALI KUFANYIKA NOVEMBA 3

Mkurugenzi wa Lino Agency ambao ni waandaaji wa Mashindano ya Redd's Miss Tanzania,Hashim Lundenga (pili Kushoto) akizungumza na Waandishi wa Habari kwa Msisitizo kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo leo wakati wa kutangaza kuanza kwa kambi rasmi ya Redd's Miss Tanzania 2012 na ukumbi utakaofanyiwa Shindano hilo mwaka huu ambao ni Blue Peal uliopo ndani ya Jengo la Ubungo Plaza,jijini Dar es Salaam.Jumla ya Warembo 30 wataingia kambini Oktoba 2 kwenye hoteli ya Girrafe jijini Dar es Salaam.Wengine Pichani toka kushoto ni Meneja wa Kinywaji cha Redd's Original,Victoria Kimar,miss Tanzania 2011
Meneja wa kinywaji cha  Redd's Victoria Kimaro (kushoto) Akizungumza na wadau.
Miss Tanzania 2011, Salha Izrael (kushoto) akiwa na Mmoja wa washiriki wa Shindano Miss Tanzania 2011, Jennifer Kakolaki.

Kamati ya Miss Tanzania ikizungumza na wana habari jijini Dar es Salaam leo katika ukumbi wa mikutano wa Idara ya Habari Maelezo.

Waandishi wa Kongwe wa Habari za Urembo, michezo na burudani, katika magazeti kutoka kulia ni Somoe Ng’itu wa Nipashe, Asha Kigundula wa JamboLeo na Mwani Nyangasa wa Mtanzania/Dimba na Bingwa wakimsikiliza kwa makini Hashim Lundenga.

No comments:

Post a Comment