Mchezaji wa timu ya Manchester United Nani anasubiri kujua hatima yake leo kama atauzwa na United kwenda klabu ya Zenit St Petersburg kabla dirisha la Usajili la Urusi halijafungwa leo.
Nani alitarajiwa kusaini mkataba mpya na Man United ili aweze bakia klabuni hapo kwa mda mrefu lakini jambo hilo limeshindika kwani hapakuwa na maelewano mazuri katika mkataba huo na kupelekea Nani kujiona haitajiki klabuni hapo na pia inasemekana hayupo katika mipango ya kocha Ferguson.
Hulk
Andrey Arshavin
No comments:
Post a Comment