NYOTA wa muziki wa pop, Rihanna ametajwa ndiye msanii mwenye wafuasi wengi kwenye mtandao wa kijamii FACEBOOK na sasa anampiku rapa Eminem.Eminem,39 alikuwa msanii wa kwanza kufikisha marafiki milioni 60 kwenye mtandao huo wa kijamii hadi kufikia julai, lakini Rihanna ambaye alitamba na wimbo wake wa "um-brella" amempiku rapa huyo kwa sasa.
Rapa Eminem kushoto na Rihanna kulia wakifukuzana kwenye mtandao wa Facebook.
No comments:
Post a Comment