WAREMBO wanaoshirikishindano la Redds Miss Tanzania 2012 leo walitembelea Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro na kujionea vitu mbalimbali katika bonde hilo ambalo lina mambo mengi ya ajabu miongoni mwa hifadhi.
Zifuatazo ni picha mbalimbali za warembo hao wakiwa katika Bonde hilo la hifadhi ya Ngorongoro.
Babylove Kalala akifurahia bonde la hifadhi ya Ngorongoro.
No comments:
Post a Comment