Wananchi Mkoani Njombe Wameiomba Serikali Kulitafutia Ufumbuzi wa Huenda Likaathiri Uchumi wa Taifa na Wananchi Kwa Ujumla. Aidha Wananchi Hao Pia Wameitaka Serikali Kuwachukulia Hatua Wafanyabiashara Wote wa Mafuta Wanaosababisha Kuwepo Kwa Hali Hiyo Ambayo Imesababisha Baadhi ya Mikoa Hapa Nchini Kukumbwa na Uhaba Mkubwa wa Mafuta ya Petrol na Diseli. Ombi Hilo la Wananchi Linafuatia Kuongezeka Kwa Tatizo la Upungufu wa
Hiyo Asubuhi ya Leo
Pamoja na hayo wananchi hao wameleza kuwa kutokana na msongamano wa
magari hayo huenda tatizo la ajali likaweza kutokea kutokana na
umakini kuwa mdogo kwa baadhi ya wamiliki na madereva wa magari.
Kwa Upande Wake Mkurugenzi wa Kituo Hicho Bw Mexons Sanga amesema
Wamiliki wa Vituo Hawahusiki na Upungufu Huo Ingawa Serikali Inapaswa
Kuchukua Hatua Zaidi za Kukabiliana na Tatizo Hilo Huku
Akiwahakikishia Wananchi Kuendelea Kupata Huduma Hiyo Katika Kituo Hicho.
Amesema kuwa pamoja na kuweepo kwa tatizo la mafuta kwa muda wa zaidi
ya wiki tatu kituo chake hakijaweza kukosa nkabisa huduma ya mafuta
licha kuwa changamoto ya mkusanyiko wa magari kuwa mkubwa kutokana na
mji mzima wa Njombe kukosa huduma hiyo isipokuwa kituo hicho pekee
ndicho kilikuwa kinatoa mafuta hayo na bado kinaendelea kutoa.
No comments:
Post a Comment