BUKOBA SPORTS

Saturday, November 10, 2012

VODACOM PREMIER LEAGUE: KAGERA SUGAR vs POLISI MORO 1-1 HAKUNA MBABE!

Kocha wa Kagera Sugar akisalimiana na kocha wa Polisi Moro Wakipeana mikakati hapa na kujuzana habari za hapa na paleTimu ya Kagera Sukari wakifanya mazoezi kabla ya mechi
Timu ya Polisi Morogoro nao wakipasha hapa
Timu zikiingia uwanjaniLine upKocha wa Kagera Sugar na Msaidizi wake
Kocha wa Polisi Moro
kikosi cha Polisi Morokikosi cha Kagera Sugar
Refa akiongea na ma kapteni wa pande zote mbili ili kuanza mchezo.
Mpira umeanza
benchi la Police Morogoro
Timu zikiingia uwanjaniLine up
Wadau mbali mbali uwanjani hapa.

wadau
Mchezaji wa Kagera Sugar chini


Mchezaji wa Polisi moro akifanya mambo yake

Kagera Sugar walipata nafasi nyingi za kufunga lakini walishindwa kuzitumia
Mtanange ukiendelea
Kagera Sukari wakifanya Mabadiliko
Kocha wa Polisi Moro akitoa maelekezo kwa vijana wake
Hapa ni kipindi cha pili kilimalizika na huku timu zote zikiwa 0-0
Vurugu za hapa na pale uwanjani kipa wa Polisi Moro Chini...
Dakika za mwishoni Kipa wa Polisi Moro alilazimika kutoka baada ya kuumia

No comments:

Post a Comment