Goli mbili za Steven Pienaar na Nikica
Jelavic katika Dakika za majeruhi zimewapa ushindi Everton wa Bao 2-1
dhidi ya Tottenham Uwanjani Goodison Park.
Tottenham walipata Bao lao katika Dakika ya 76 baada ya shuti la Clint Dempsey kumbabatiza Beki na kutinga.
Ushindi huu umewafanya Everton wapande na kukamata nafasi ya 4 kwenye Msimamo wa Ligi.
Nikica Jelavic (katikati) akifurahia na wenzake baada ya kuifunga Tottenham
VIKOSI
Everton: Howard, Coleman, Jagielka, Distin, Baines, Mirallas (Naismith 46), Gibson, Osman (Vellios 81), Pienaar, Fellaini, Jelavic.
Subs not used: Mucha, Heitinga, Oviedo, Hitzlsperger, Barkley
Goals: Pienaar 90, Jelavic 90
Booked: Baines, Osman
Tottenham: Lloris, Walker, Gallas, Caulker, Vertonghen, Lennon (Huddlestone 71), Dempsey, Dembele (Sigurdsson 77), Sandro, Adebayor, Defoe.
Subs not used: Friedel Naughton, Falque, Livermore, Townsend.
Goal: Dempsey 76
Booked: Vertonghen, Defoe
Referee: Lee Mason (Lancashire)
Attendance: 36,494
Clint Dempsey akitupia goli dakika ya 76
wachezaji wa Tottenham wakishangilia kwa kumpongeza Dempsey
Steven Pienaar akifunga goli dakika za mwishoni za lala salama
Seamus Coleman akimkwatua chini Jan Vertonghen
Kevin Mirallas akizuia mkwaju uwanjani hapo Goodison Park
RATIBA MECHI ZIJAZO
Jumatatu 10 Desemba 2012
[SAA 5 Usiku]
Fulham v Newcastle
Jumanne 11 Desemba 2012
[SAA 4 Dak 45 Usiku]
Sunderland v Reading
Jumamosi 15 Desemba 2012
[SAA 9 Dak 45 Mchana]
Newcastle v Man City
[SAA 12 Jioni]
Liverpool V Aston Villa
Man United V Sunderland
Norwich v Wigan
QPR v Fulham
Stoke v Everton
Jumapili 16 Desemba 2012
[SAA 10 na Nusu Jioni]
Tottenham v Swansea
[SAA 1 Usiku]
West Brom v West Ham
Jumatatu 17 Desemba 2012
[SAA 5 Usiku]
Reading v Arsenal
No comments:
Post a Comment