BUKOBA SPORTS

Sunday, December 9, 2012

MANCHESTER UNITED YAZIDI KUPAA KILELENI, YAVUNJA REKODI YA CITY KUTOFUNGWA NYUMBANI, YAIBAMIZA 3-2! RIO FERDINAND AUMIZWA NA MASHABIKI WA CITY, RVP HESHIMA TUPU!! ATUPIA GOLI LA USHINDI DAKIKA ZA MAJERUHI NA KUIPAISHA MBELE UNITED KWA POINTI 6.

Robin van Persie
Goli la 3 la free kickGoli la 1Goli la 2

MANCHESTER, England
GOLI kali la ‘fri-kiki’ kutoka kwa Robin van Persie katika dakika za majeruhi liliwapa Manchester United ushindi wa ugenini wa 3-2 dhidi ya mabingwa Manchester City leo na hivyo kujichimbia kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya England kwa tofauti ya pointi sita.RVP akizima ndoto za Mancini dakika za mwishoni.Licha ya Man City kuonekana wakitawala mechi, Wayne Rooney aliwafungia wageni goli la utangulizi kinyume na mwelekeo wa mchezo katika dakika ya 16 kutokana na shuti ‘jepesi’ la chini lililozama pembeni, ndani ya nyavu ndogo kabla mshambuliaji huyo hajafunga goli lake la pili kwenye mechi hiyo katika dakika ya 29.Man City walifunga goli lao la kwanza kupitia kwa Yaya Toure katika dakika ya 60 kabla hawajasawazisha katika dakika ya 86kutokana na shuti “Tamu” la Pablo Zabaleta, lakini hisia zozote za sare zilizimwa muda mfupi baadaye wakati Van Persie alipoiga ‘fri-kiki’ kali iliyoguswa na Samir Nasri kabla ya kujaa wavuni.Shangwe za Man U zilikatizwa wakati beki wao Rio Ferdinand alipojeruhiwa na kujikuta akivuja damu juu ya jicho lake la kushoto baada ya kupigwa na na kitu kilichorushwa na mashabiki.
Matokeo hayo yalihitimisha takriban rekodi ya miaka miwili ya kutofungwa nyumbani kwa Man City katika Ligi Kuu ya England huku Man U ikiendelea kutesa kileleni kwa kuwa na pointi 39 kutokana na mechi 16, wakati Man City wakibaki katika nafasi ya pili huku wakiwa na pointi 33.
Mix of emotions: Man United celebrate but Ferdinand holds his head after being hit by a coin and blue smoke from a flare fills the background
Man United furaha zao zimekatizwa ghafla kwa kitendo cha kumuona mchezaji wao Rio akivuja damu
Premature: Pablo Zabaleta's strike seemed to have earned City a draw
Pablo Zabaleta akifurahia kurudisha goli na kufanya 2-2

Kikosi cha Man City kilichoanza
Hart, Zabaleta, Kompany, Nastasic, Clichy, Yaya Toure, Barry, Nasri, Silva, Aguero, Balotelli.


Kikosi cha Man United kilichoanza
De Gea, Rafael, Ferdinand, Evans, Evra, Valencia, Cleverley, Carrick, Young, Rooney, Van Persie.


no image
KITENDO CHA RIO KUUMIA:
Rio Ferdinand alipojeruhiwa na kujikuta akivuja damu juu ya jicho lake la kushoto baada ya kupigwa na na kitu kilichorushwa na mashabiki.Gloved off: Hart holds back a pitch invader as blood flows from Rio Ferdinand's head
Hart akijaribu kumkinga Rio mara baada ya shabiki kuingia uwanjani hapo mwishoni mwa mechi. Rio
Wounded: Rio Ferdinand receives treatment after being struck by an object thrown from the crowd
Rio Ferdinand amepatiwa matibabu ya haraka ya kuzuia damu
Manchester United's Rio Ferdinand (R) is helped from the pitch by teammate Robin van Persie after being struck by an object thrown from the crowd during their English Premier League soccer match against Manchester City
Struck: Ferdinand was hit by a coin thrown from City fans as he celebrated in front of them
Nasty: Ferdinand is led away by Danny Welbeck as blood trickles down his face
Confrontation: A City fan ran on to the pitch to get to Ferdinand but was held back by keeper Joe Hartwewe ....
Plenty to shout about: Ferdinand appeared to celebrate directly in front of the City fans
Ferdinand kisa cha kuumizwa ameshangilia mbele ya mashabiki wa City
Celebration: Van Persie salutes the crowd in the smoke of a flare without realising Ferdinand has been injured
 Van Persieakishangilia na hapo hapo anamuona Rio akitiririkiwa damu usoni
Manchester United's English defender Rio Ferdinand (R) picks up a coin after being struck by an object thrown from the crowd during the English Premier League football match between Manchester City and Manchester United
Manchester United's English striker Danny Welbeck (L) celebrates Robin Van Persie's late winning goal as Manchester United's English defender Rio Ferdinand (R) holds his head
Humour: Ferdinand took to Twitter after the match to brush off the incident
Shower: Ferdinand was pelted by a number of coin from the City section
Ferdinand amerushiwa mashiringi usoni
Coin collection: Ferdinand bends over to pick up the missile which hit him in the eye
Ferdinand akiinama kujiuguza na jeraha baada ya mashabiki kurusha coin za pesa
Angry scenes: A City fan runs onto the pitch to confront Rio Ferdinand after the winning goal
Shabiki likiingia uwanjani na kutaka kukwaruzana na Rio
Scrap: Joe Hart held the supporter back as he tried to confront Rio Ferdinand
Joe Hart kipa wa City akishikana tai na shabiki kumkinga Rio Ferdinand
Dragged away: Police officers and stewards remove the fan who ran on to the pitch
UTATUKOMAA.....
Police officers remove a supporter who ran on the pitch and tried to reach Manchester United's Rio Ferdinand Shabiki aliyeingia uwanjani akitiwa nguvuni hapa
Flashpoint: Tempers flared on the touchline near the end as Carlos Tevez kicked out at Phil Jones
Carlos Tevez akipandishiana na Phil Jones karibu na makocha wote wawili
Manchester City's Carlos Tevez kicking out in frustration at Man Utd's Phil JonesTevez hapa alifanya makosa lakini refa akapeta mbele ya Sir Alex Ferguson
Trouble: Manchester City fans scuffle with police and stewards at the final whistle
Mashabiki wa Man City wakiwafanyia vurugu polisi
Manchester City fans taunt the United fans at the end of the Barclays Premier League match between Manchester City and Manchester UnitedVurugu zikiendelea...
Unpopular: Rooney is taunted by Manchester City fans as he goes to take a corner
Rooney pia alirushiwa na mashabiki wa City vitu kama mawe wakati anaenda kupiga kona.
Angalia hii video...

No comments:

Post a Comment