BUKOBA SPORTS

Sunday, December 9, 2012

ENGLISH PREMIER LEAGUE: MAN CITY 2 vs 3 MANCHESTER UNITED. RVP APELEKA KILIO ETIHAD KWA MANCINI

Mabingwa watetezi wa England, Manchester City, Leo wamepigwa kichapo cha goli 3-2 na Mahasimu wao Manchester United ambao ndio walikuwa wanaongoza  Ligi kwa Pointi 3 mbele yao na leo wametanguliwa tena zaidi kwa pointi 6, na Refa akiwa Martin Atkinson, ambaye Klabu zote mbili zilikuwa zina mhofia.
 
Kikosi cha Man City kilichoanza
Hart, Zabaleta, Kompany, Nastasic, Clichy, Yaya Toure, Barry, Nasri, Silva, Aguero, Balotelli.


Kikosi cha Man United kilichoanza
De Gea, Rafael, Ferdinand, Evans, Evra, Valencia, Cleverley, Carrick, Young, Rooney, Van Persie.


Mpira umeanza na dakika ya 16 mshambuliaji matata wa Man United Rooney anaipatia goli la kwanza United.
>> Mpira umeanza Manchester City wakiongonza kwa mashambulizi na kupata kona mbili.
Wayne Rooney scores for Man United against Man City
Dakika ya 16 Rooney anaipatia goli Man United baada ya kupata basi nzuri kutoka kwa Ashley Young.
City slicker: City's David Silva escapes the attention of United's Robin van Persie
David Silva akichuana na Robin van Persie
Dakika ya 28 Rooney anaipatia tena goli na kufanya 2-0 dhidi ya Man City.
Early end: Manchester City's Vincent Kompany had to be replaced by Kolo Toure due to injury
Vincent Kompany akitoka mapema na kumwachia Kolo Toure baada ya kuumia
At the double: Wayne Rooney doubled United's lead with his second goal
Wayne Rooney akiifungia Man United goli la 2
At the double: Wayne Rooney doubled United's lead with his second goalWachezaji wa United wakifurahia na City wakiwa hoi hapa kipindi cha kwanza.
kipindi cha kipi limeanza na kuona mashambulizi yakiwa ni 50' 50 na Timu zote mbili zikifanya mabadiliko kwa United wakimtoa John Evans akiingia Smalling na kwa  City akiingia Tevez na Balloteli kutoka.
Mancini leo akufurahishwa na kiwango cha balloteli na hapa akiashilia atoke.
Kuingia kwa Tevez kunaongeza matumaini kwa timu ya Man City mashabulizi ya City kwa United yanaongezeka na dakika ya 60 Yahya Toure anaipatia City goli la kwanza na kufanya 1-2.
Yahya Toure akitupia baada ya mabeki wa Man United kufanya makosa
Back in the game: Yaya Toure halved the deficit for Manchester City
Yaya Tourea akiipatia City goli
Back in the game: Yaya Toure halved the deficit for Manchester CityYahya Toure akipongezwa baada ya kufunga.
Premature: Pablo Zabaleta's strike seemed to have earned City a draw
Dakika ya 86 Strika Pablo Zabaleta anaisawazishia City goli na kufanya 2-2Battle of wits: Mancini and Sir Alex Ferguson were both chasing the points
 Mancini na Sir Alex Ferguson wakionekana hapa kufukuzia pointi.

Robin van Persie akiipatia goli la 3 UNITED kwa mpira wa free kiki.Wayne Rooney akimpongeza Van Persie baada ya kufunga goli la 3
Watching on: England boss Roy Hodgson and Stuart Pearce were in attendance
Kocha mkuu England Roy Hodgson na Stuart wakiangalia mtanange
Cruising: Hollywood star Tom Cruise made it to the Etihad
Mcheza Movie wa Hollywood star Tom Cruise na yeye hakukosa!!
Laughing matter: Actors Robert Duvall (left) and Cruise chat to Sky reporter Geoff Shreeves
Actors Robert Duvall (kushoto) na Cruise wakiteta jambo hapa

VIKOSI:
Man City: Hart, Zabaleta, Kompany (K Toure 21), Nastasic, Clichy, Silva, Y Toure (Dzeko 84), Barry, Nasri, Aguero, Balotelli (Tevez 52).
Subs not used: Pantilimon, Maicon, Lescott, Javi Garcia.
Booked: Nasri, Y Toure, Tevez.
Goals: Y Toure 60, Zabaleta 86.
Man Utd: De Gea, Da Silva, Ferdinand, Evans (Smalling 58), Evra, Valencia (Jones 84), Carrick, Cleverley (Welbeck 87), Young, Rooney, van Persie.
Subs not used: Johnstone, Giggs, Hernandez, Scholes.
Booked: Ferdinand, Rooney, Jones.
Goals: Rooney 16, 29, Van Persie 90.
Referee: Martin Atkinson (W Yorkshire)



RATIBA/MATOKEO
Jumamosi 8 Desemba 2012
[SAA 12 Jioni]
Arsenal 2 v West Brom 0
Aston Villa 0 v Stoke 0
Southampton 1 v Reading 0
Sunderland 1 v Chelsea 3
Swansea 3 v Norwich 4
Wigan 2 v QPR 2


Jumapili 9 Desemba 2012
[SAA 10 na Nusu Jioni]
Man City 2 v Man United 3
[SAA 12 Jioni]
Everton  v Tottenham
[SAA 1 Usiku]
West Ham v Liverpool


Jumatatu 10 Desemba 2012
[SAA 5 Usiku]
Fulham v Newcastle


Jumanne 11 Desemba 2012
[SAA 4 Dak 45 Usiku]
Sunderland v Reading



No comments:

Post a Comment