Ligi kuu England iliendelea tena jana usiku kumalizia mechi mbili zilizokuwa zimepangwa jumatatu, kati ya Newcastle na Wigan, mchezo uliochezwa usiku na kushuhudia Newcastle wakiibuka kidedea kwa goli 3-0 dhidi ya Wigan. Goli za Newcastle zilifungwa na Demba Ba dakika ya 13 kwa penati na dakika ya 21 na goli la tatu likafungwa na Bigirimana 71 kipindi cha pili.
Na kuwafanya Newcastle kubaki nafasi ya 14 wakiwa na pointi 17
Maynor Figueroa mchezaji wa Wigan alitolewa baada ya kufanya madhambi na kuweza kuweka gepu kubwa kwa timu ya wigan na kuonekana hawapo hewani kitu ambacho kilifanya Wigan waanze kutoonana.
VIKOSI:
NEWCASTLE: Krul, Simpson, Williamson, Coloccini, Santon (Ferguson 49), Marveaux, Tiote (Bigirimana 46), Anita, Gutierrez (Sammy Ameobi 75), Ba, Cisse.
NEWCASTLE: Krul, Simpson, Williamson, Coloccini, Santon (Ferguson 49), Marveaux, Tiote (Bigirimana 46), Anita, Gutierrez (Sammy Ameobi 75), Ba, Cisse.
Subs Not Used: Harper, Shola Ameobi, Ranger, Tavernier.
Booked: Sammy Ameobi.
Goals: Ba 13 pen, 21, Bigirimana 71.
WIGAN: Al Habsi, Stam, Boyce, Caldwell (Lopez 46), Figueroa, Gomez (McArthur 23), Jones, McCarthy, Beausejour, Di Santo (McManaman 83), Kone.
Subs Not Used: Pollitt, Boselli, Fyvie, Golobart.
Sent Off: Figueroa (12).
Booked: Beausejour, Caldwell, Di Santo.
Attendance: 43,858
Referee: Mike Jones (Cheshire).

Maynor Figueroa akifanya rafu na kupewa kadi nyekundu
Ba hakufanya makosa hapa aliziona nyavu
Gael Bigirimana akiifungia timu yake kwa mara ya kwanza goli
Mechi imeisha
MSIMAMO ULIVYO KWA SASA.
No comments:
Post a Comment