
Timu 24 toka EUROPA LIGI zilizofuzu hatua ya Makundi zitaungana na Timu 8 zilizomaliza nafasi za 3 kwenye Makundi ya UEFA CHAMPIONZ LIGI na miongoni mwa hizo ni waliokuwa Mabingwa watetezi wa Ulaya Chelsea ambao Jumatano walitupwa nje ya Mashindano hayo.
Jordan Henderson akipongezana na wachezaji wa Liverpool jana Europa League
VIKOSI:
Udinese: Padelli, Faraoni, Heurtaux, Danilo, Pasquale, Pereyra, Agyemang-Badu, Pinzi (Benatia 46), Armero, Fabbrini, Ranegie (Di Natale 85), Benatia (Reinthaler 65).
Subs Not Used: Brkic, Marsura, Berra, Frison.
Sent Off: Pasquale (80).
Booked: Fabbrini, Pasquale, Agyemang-Badu.
Liverpool: Reina, Johnson, Skrtel, Carragher, Jose Enrique, Henderson, Allen, Sahin (Shelvey 12), Suso (Sterling 71), Suarez, Downing.
Booked: Fabbrini, Pasquale, Agyemang-Badu.
Liverpool: Reina, Johnson, Skrtel, Carragher, Jose Enrique, Henderson, Allen, Sahin (Shelvey 12), Suso (Sterling 71), Suarez, Downing.
Subs Not Used: Jones, Cole, Assaidi, Coates, Wisdom.
Booked: Suso, Allen, Carragher.
Goals: Henderson 23.
Attendance: 12,000
Referee: Duarte Gomes (Portugal)
Booked: Suso, Allen, Carragher.
Goals: Henderson 23.
Attendance: 12,000
Referee: Duarte Gomes (Portugal)
Net zikitingishwa kwa goli la Henderson dakika ya 23 kipindi cha kwanza.
Martin Skrtelakizuia ngome yao ya liverpool isipitike kiurahisi
Jamie Carragher
Timu ya Udineseilijitutumua lakini haikuweza kuziona nyavu za Liverpool
Tottenham 3 Panathinaikos 1
Huko White Hart Lane, Bao za Adebayor,
Jermaine Defoe na moja la kujifunga wenyewe Panathinaikos baada ya
kichwa cha Clint Dempsey kugonga posti na kumgonga mgongoni Karnezis
ziliwapa ushindi Tottenham wa Bao 3-1.
Newcastle, ambao walikuwa tayari wamefuzu na waliocheza ugenini, walifungwa Bao 2-0 na Bordeaux.
VIKOSI:Tottenham: Friedel, Walker, Caulker, Vertonghen, Naughton, Lennon (Livermore 87), Sandro, Carroll (Dembele 75), Dempsey (Sigurdsson 80), Defoe, Adebayor.
Subs not used: Cudicini, Huddlestone, Townsend, Stewart.
Booked: Naughton.
Goals: Adebayor 29, Karnezis o.g. 76, Defoe 83.
Panathinaikos: Karnezis, Seitaridis, Triantafyllopoulos, Vyntra, Spyropoulos, Vitolo, Sow (Christodoulopoulos 60), Sissoko, Zeca, Mavrias (Fornaroli 83), Toche (Petropoulos 78).
Subs not used: Kapino, Marinos, Chouchoumis, Velazquez.
Booked: Spyropoulos.
Goal: Zeca 54.
Att: 32,554.
Ref: Pawel Gil (Poland)
(Timu zilizomaliza Nafasi ya 3 kwenye Makundi)
-Dynamo Kiev
-Olympiacos
-Zenit St Petersburg
-Ajax Amsterdam
-Chelsea
-BATE Borisov
-Benfica
-CFR Cluj-Napoca
-Olympiacos
-Zenit St Petersburg
-Ajax Amsterdam
-Chelsea
-BATE Borisov
-Benfica
-CFR Cluj-Napoca
ZILIZOFUZU LEO ALHAMISI DESEMBA 6:
Steaua Bucharest
Stuttgart
Liverpool
Tottenham
No comments:
Post a Comment