BUKOBA SPORTS

Sunday, December 9, 2012

LA LIGA: MESUT OZIL AISADIA TIMU YAKE KUSHINDA DHIDI YA REAL VALLADOLID KWA GOLI 3-2

JANA Kulikuwa na mechi kali ya La Liga ambayo iliwakutanisha Real Valladolid na Real Madrid, mechi iliyokuwa na spidi kubwa kati ya pande zote mbili.JANA Kulikuwa na mechi kali ya La Liga ambayo iliwakutanisha
Real Valladolid walikuwa wa kwanza kupata goli kupitia Strika wa zamani wa Manchester United  Manucho, goli la dakika ya 7 na dakika ya 22 na kusababisha mpira huo kuwa funga nikufunge katika kipindi cha kwanza.
Real wao walipata bao lao la  kwanza la kusawazisha kupitia mchezaji wao kupitia Karim Benzem katika Dakika ya 12 na dakika ya 45 kabla ya mapumziko. Kipindi cha pili nacho kilikuwa cha kukata na shoka kwani timu zote zilijipanga upya baada ya kumaliza kipindi cha kwanza zikiwa na sare ya goli 2-2.
Dakika ya 72 mchezaji Metus Ozil akaipatia tena goli timu yake kwa shuti kali lililozama hadi nyavuni.
Ushindi huu wa leo umewafanya Real wapande washike nafasi ya 3 wakiwa na Pointi 32 kwa Mechi 15 wakiwa Pointi 8 nyuma ya Mahasimu zao Barcelona ambao wana pointi 40 na wanacheza leo jumapili mchezo wao wa 15 La Liga.
Double time: Real Madrid midfielder Mesut Ozil (left)
 Real Madrid midfielder Mesut Ozil (kushoto) akikatiza
Top man: Ozil celebrates after scoring
Ozil akishamgilia baada ya kutupia
Close call: Valladolid's Manucho (L) scores with a header
Valladolid's Manucho (kushoto) akitupia kwa kichwa.
Remember me? Former Man United striker Manucho
Unanikumbuka? mchezaji wa zamani wa Man United Manucho akitamba baada ya kuziona nyavu mara 2
On the run: Real Madrid's Cristiano Ronaldo
Real Madrid's Cristiano Ronaldo

Match statistics:
Real Valladolid
Shots 9
On target 4
Possession 46%
Corners 6
Fouls 17

Real Madrid
Shots 17
On target 13
Possession 54%
Corners 9
Fouls 14 


MATOKEO YA MECHI ZA JANA
8 December   Real Sociedad 1 - 1 Getafe

  Málaga 4 - 0 Granada


Real Valladolid 2 - 3 Real Madrid


Osasuna 0 - 1 Valencia


RATIBA MECHI ZA LEO
9 December Levante 12 : 00 Mallorca

Athletic Club 17 : 00 Celta de Vigo

Atlético Madrid 19 : 00 Deportivo La Coruña

Real Betis 21 : 00 Barcelona


WAFUNGAJI
1. L.Messi - Barca 21
2. C.Ronaldo - Real Madrid 13
3. R. Falcao -  Atlético Madrid 11
4. Soldado - Valencia 8
5. Negredo - Sevilla 8  

No comments:

Post a Comment