>>FALCAO APIGA BAO 5 MECHI MOJA!!
LA LIGA
RATIBA/MATOKEO:
Jumapili Desemba 9
Levante 4 Mallorca 0
Athletic Bilbao 1 Celta Vigo 0
Atletico Madrid 6 Deportivo La Coruna 0
Real Betis 1 Barcelona 2
Jumatatu Desemba 10
Rayo Vallecano v Real Zaragoza
LA LIGA jana ilimshuhudia Supastaa
Lionel Messi akiifungia Timu yake Barcelona Bao mbili na kuipa ushindi
wa Bao 2-1 dhidi ya Real Betis huku yeye akivunja Rekodi ya tangu Mwaka
1972 ya Straika wa Germany Gerd Muller ya kufunga Bao 85 ndani ya Mwaka
mmoja wa Kalenda kwa yeye kufikisha Mabao 86 na wakati huo huo Straika
hatari wa Atletico Madrid Radamel Falcao akipiga Mabao 5 katika Mechi
moja walipoifunga Deportivo La Coruna Mabao 6-0.
WAFUNGAJI BORA:
-Lionel Messi = Bao 23
-Radamel Falcao =16
-Ronaldo =13
-Aduriz = 9
Matokeo hayo ya jana yameifanya Barca
izidi kupaa kileleni ikiwa na Pointi 43, Atletico Madrid nafasi ya Pili
Pointi 37 na Real Madrid ni wa Tatu Pointi 32.
MSIMAMO-Timu za Juu
[Kila Timu imecheza Mechi 15]
1 Barcelona Pointi 43
2 Atletico Madrid 37
3 Real Madrid 32
4 Malaga 25
5 Real Betis 25
6 Levante 24
7 Getafe 23Bottom of Form
KUHUSU LIONEL MESSI
1987: June 24 - Born in Rosario, Santa Fe, Argentina. 1995: Joins Newell's Old Boys.
1998: Diagnosed with a growth hormone deficiency at age of 11.
2000: Moves to Barcelona, aged 13.
2003: November 16 - Makes first-team debut in friendly at Porto at the age of 16.
2004: October 16 - Appears in first official Barca match, aged 17, in 1-0 derby win at Espanyol.
2005: May 1 - Becomes youngest player to score for Barcelona by netting against Albacete.
June - Helps Argentina to World Youth Championship triumph in Holland. Messi is competition's top scorer and is named player of the tournament.
August 17 - Makes full Argentina debut as second-half substitute in Hungary, only to be shown a red card within two minutes.
MESSI NA UFUNGAJI MAGOLI MWEZI HADI MWEZI
4th – Two goals vs. Osasuna in Copa Del Rey (4-0)
8th – vs. Espanyol (1-1)
12th – vs. Osasuna in Copa Del Rey (2-1)
15th – Two goals vs. Real Betis (4-2)
18th – vs. Real Madrid in Copa Del Rey (2-1)
22nd – Three goals vs. Malaga (4-1)
25th – vs. Real Madrid in Copa Del Rey (2-2)
28th – vs. Villarreal (0-0)
MWEZI FEBRUARI
1st – vs. Valencia in Copa Del Rey (1-1)
4th – One goal vs. Real Sociedad (2-1)
8th – vs. Valencia in Copa Del Rey (2-0)
11th – vs. Osasuna (2-3)
14th – One goal vs. Bayer Leverkusen in Champions League second round, first leg (3-1)
19th – Four goals vs. Valencia (5-1)
26th – One goal vs. Atletico Madrid (2-1)
29th – Three goals vs. Switzerland (3-1)
No comments:
Post a Comment