BUKOBA SPORTS

Wednesday, December 5, 2012

UEFA CHAMPIONS LIGI: REAL MADRID 4 vs 1 AJAX, OLYMPIACOS 2 vs 1 ARSENAL. REAL MADRID WAUA, MAN CITY KILIO - WATUPWA NJE!!!

Leo jumanne ligi ya mabingwa imeendelea, Real Madrid wakiwashinda Ajax goli 4-1 goli zilizofungwa kipindi cha kwanza dakika 13 Christiano Ronaldo na José Maria Callejón akifunga goli mbili dakika ya 28 na 88 kipindi cha pili, wakati kaka akifunga goli la mapema kipindi cha pili dakika ya 49. Mchezaji wa Ajax Derk Boerrigter ameweza kuipatia timu yake ya Ajax goli la pekee kipindi cha pili dakika ya 59. Mchezo ulikuwa wakushambulia kwa upande wa Real Madrid  kipindi cha kwanza ambapo wameweza kupata mabao mawili na kukosa kadhaa.

Wachezaji wa  Arsenal Tomas Rosicky's wakipongezana kipindi cha kwanza.
Scott Sinclair (kulia) akizuia mpira
Julian Schieber gave Borussia Dortmund the lead against Manchester CityJulian Schieber Ameongeza machungu tena City

 Roberto Mancini's (kulia) akiwaimiza wachezaji wake.Mashabiki wa Dortmund

Julian Schieber akiteleza kutupia nyavuni na kuipatia Borussia Dortmund goli.

Scott Sinclair akishikana na mchezaji mwenzie

Javi Garcia (kulia) akiruka kuwania mpira


Samir Nasri akikabwa na wachezaji wawili wa Dortmund

Referee Stanislav Todorov suspends play for 10 minutes between Dinamo Zagreb and Dynamo Kiev after pitch markings were covered by heavy snowKaka akishangilia


MATOKEO YA MECHI ZA LEO  
Málaga 2 VS RSC Anderlecht 2
Milan 0 VS Zenit St Petersburg 1
Montpellier1 VS FC Schalke 04 1
Paris Saint Germain2 VS FC Porto 1
Real Madrid 4 VS Ajax 1 
Olympiakos 2 VS Arsenal 1 
Borussia Dortmund 1 VS Manchester City 0  
Dinamo Zagreb 0 VS Dynamo Kyiv1

No comments:

Post a Comment