BUKOBA SPORTS

Monday, January 21, 2013

ENGLISH PREMIER LEAGUE: TOTTENHAM HOTSPUR 1 vs MANCHESTER UNITED 1.


Wakiwa ugenini Vinara wa ligi kuu ya England, Manchester United imeambulia pointi moja baada ya kutoka sare ya bao 1-1 na Tottenham. Mshambuliaji Robin Van Persie aliiwezesha timu yake ya Manchester United kuongoza kipindi cha kwanza baada ya kufunga bao katika dakika ya 25.
Van Persie alipata goli hilo akiunganisha krosi ya Tom Cleverly.
Man United wakiamini kuwa tayari wamepata ushindi katika mechi hiyo, walijikuta wakigawa pointi baada ya Clint Dempsey kufunga katika dakika za majeruhi na kuamsha shangwe kwa mashabiki wa Tottenham katika uwanja wao wa White Hart Lane.
Matokeo hayo bado yanaiacha Manchester United kileleni mwa ligi hiyo ikiwa na pointi 56, huku ikifuatiwa na Manchester City yenye pointi 51.
Tottenham iko katika nafasi ya nne ikiwa na pointi 41, pointi nne nyuma ya Chelsea yenye pointi 45, ikikakalia nafasi ya tatu ya ligi kuu ya England.
Timu zote hizo nne zimecheza mechi 23 kila moja.

Meneja Andre Villa Boas wa Tottenham Hotspur akisalimiana na Meneja Sir Alex Ferguson wa Manchester UnitedGareth Bale ameruka lakini akuufikia mpira huo uliopigwa na CleverleyClinical: Robin van Persie scored his 22nd goal of the season after 25 minutesRvp akitupia kwa kichwa.Mchezaji wa Manchester United Robin van Persie akishangiliaKipa wa  Manchester United David De Gea  akifurahia baada ya RVP kufunga goliRobin van Persie wa Manchester United akipongezwa na wachezaji wenzake baada ya kufungaHugo Lloris kipa wa  Tottenham Hotspur nguvu zikiwa zimemwishia baada ya kufungwa na RVPOver the edge: Bale falls into the crowd before being helped out by Tom CleverleyDuuu.....
Over the edge: Bale falls into the crowd before being helped out by Tom Cleverleywewe utakufa .....ebu njoo ...
Clint Dempsey wa Tottenham Hotspur akitupiaClint Dempsey baada ya kufunga goli dakika ya 90Dempsey Nyavu.. Clint Dempsey wa Tottenham Hotspurakishangila baada ya kusawazisha dakika za lala salama na kufanya 1-1
VIKOSI:
Tottenham: Lloris, Walker, Dawson, Caulker, Naughton (Assou-Ekotto 64), Lennon, Parker (Huddlestone 80), Dembele, Bale, Dempsey, Defoe.
Subs Not Used: Friedel, Vertonghen, Sigurdsson, Livermore, Townsend.
Booked: Dawson.
Goals: Dempsey 90.
Man Utd: De Gea, Rafael, Ferdinand, Vidic, Evra, Jones, Carrick, Cleverley (Valencia 74), Kagawa (Rooney 62), Welbeck, Van Persie.
Subs Not Used: Lindegaard, Anderson, Giggs, Smalling, Hernandez.
Booked: Carrick, Evra, Rafael, Rooney.
Goals: Van Persie 25.
Att: 35,956.
Ref: Chris Foy


MATOKEO:
Jumapili Januari 20

[SAA 10 na Nusu Jioni]
Chelsea 2 v Arsenal 1
[SAA 1 Usiku]
Tottenham 1 v Man United 1



MSIMAMO ULIVYO TIMU NNE ZA JUU KWA SASA.
2012-2013 Barclays Premier League Table

Overall
Home
Away

POS
TEAMPWDLFA
WDLFA
WDLFA
GDPts
1 Manchester United 23 18 2 3 57 30
10 0 1 30 14
8 2 2 27 16
27 56
2 Manchester City 23 15 6 2 45 19
9 2 1 27 9
6 4 1 18 10
26 51
3 Chelsea 23 13 6 4 47 22
6 4 2 26 11
7 2 2 21 11
25 45
4 Tottenham Hotspur 23 12 5 6 40 28
6 4 2 18 12
6 1 4 22 16
12 41

No comments:

Post a Comment