Kocha wa Manchester United Sir
Alex Ferguson, ameshutumu msaidizi wa refa Simon Beck kwa kumyima Wayne
Rooney penalti ya wazi wakati wa mechi yao na Tottenham Hotspurs, ambayo
timu hizo mbili zilitoshana nguvu ya kufungana bao moja kwa moja katika
uwanjawa White Hart Lane.
Ferguson ameshutumu msaidizi huyo wa refa, hasa baada ya Clint Dempsey kufunga bao kunako dakika ya mwisho ya mechi hiyo na kuinyima United alama tatu muhimu na kupunguza uongozi wao kutoka alama saba hadi tano mbele ya mabingwa watetezi Manchester City.

Ferguson alisema'' miaka kadhaa iliyopita msaidizi huyo wa refa, alimuachilia mshambulizi wa Chelsea Didier Drogba ambaye alikuwa tayari ameotea kufunga bao''.
Kocha huyo amesisitiza kuwa walimyinwa penalti halali na kuwa
mechi hiyo ilisimamia vibaya sana.
Hii sio mara ya kwanza kwa Ferguson kutofautiana na refa huyo.
Mwaka wa 2010 kocha huyo wa Manchester United alikasirishwa sana na uamuzi wa kumruhusu Didier Drogba kufunga licha ya kujenga kibanda katika eneo lao.
Wakati wa mechi hiyo Chelsea iliishinda Manchester United katika uwanja wao wa nyumbani na hivyo kuimarisha matumaini yao ya kunyakuwa kombe la ligi kuu msimu huo.
Lakini katika mechi ya siku ya Jumapili, Wayne
Rooney aliangushwa na mlinda lango wa Spurs Steven Caulkerkatika kipindi
cha pili lakini refa hakutoa adhabu yoyote.
Akizungumza baada ya mechi hiyo, mshambulizi wa Manchester United, Wayne Rooney alidai kuwa Caulker alimuangusha, lakini hakutaka kubishana naye ili kuhujumu kile alichokitaja kama juhudi zao wakati wa mechi hiyo.
Koch a wa Spurs Andre Villas-Boas kwa upande wake amesema hana uhakika ikiwa Caulker, alimfanyia Rooney madhabmbi.
Kocha huyo amesema mbali na tukio hilo, anahisi kuwa maamuzi mengi wakati wa mechi hiyo yalikwenda kinyume na matarajio yao na kuwa walipoteza nafasi nyingi za kufunga.
Daily Star: Furious Sir Alex Ferguson faces an FA rap after an extraordinary attack on linesman Simon Beck. Also: Steven Gerrard admits Liverpool could struggle to hold on to Luis Suarez if they fail to make the Champions League this season.
Daily Mirror: Sir Alex Ferguson is facing an FA charge for blasting a linesman. Also: Arsene Wenger admitted he is "concerned" for the first time that Arsenal could miss out on a top-four finish.
The Guardian: Sir Alex Ferguson turned his fire on the assistant referee Simon Beck at White Hart Lane, questioning how he could not have awarded Manchester United a potentially decisive penalty, which he felt was costly when Tottenham Hotspur rallied to secure a 1-1 draw in injury time. Also: Mario Balotelli's Manchester City future could be decided this week.
The Sun: Alex Ferguson is facing another FA rap for slating a linesman. Also: Arsenal boss Arsene Wenger fears his 15-year Champions League run is about to come to an end.
Daily Mail: Sir Alex Ferguson launched a stinging attack on linesman Simon Beck after Manchester United failed to hang on to a lead at Tottenham yesterday. Also: Arsene Wenger has confessed he fears Arsenal will miss out on the Champions League for the first time in 15 years.
Daily Express: Sir Alex Ferguson launched his fury at the match officials after Manchester United conceded an injury-time goal in a 1-1 drawn at Tottenham that blows the title race wide open. Also: Arsene Wenger fears that Arsenal could miss out on the Champions League for the first time in 16 years.
The Times: Sir Alex Ferguson risked being hit with a misconduct charge last night after strongly criticising the performance of an assistant referee in Manchester United's 1-1 draw away to Tottenham Hotspur. Also: Matt Le Tissier has criticised the decision by Nicola Cortese to dismiss Nigel Adkins as Southampton manager.
The Independent: Sir Alex Ferguson risked a Football Association charge last night with an outspoken attack on linesman Simon Beck who he claimed would "no way" give decisions in Manchester United's favour. Also: Arsene Wenger admitted last night his "concern" over Arsenal's league position jeopardising their chances of Champions League qualification.
Daily Telegraph: Sir Alex Ferguson could face a Football Association sanction after he blamed an assistant referee for failing to award a penalty in Manchester United's 1-1 draw with Tottenham. Also: Arsene Wenger accused Ramires of diving to win Chelsea's crucial first-half penalty yesterday.

No comments:
Post a Comment