MAN UNITED 4 FULHAM 1
Manchester United wameinyuka Fulham Bao 4-1 Uwanjani Old Trafford na kusonga mbele kwenye FA CUP. Javier Hernandez ‘Chicharito alipiga Bao mbili na Wayne Rooney na Ryan Giggs kufunga Bao moja moja na kuitawala kabisa Fulham. Nao Fullham walipata bao la kufutia machozi kupitia kwa Hughes dakika ya 77 ya mchezo huo ambao United walimkalia kooni muda wote wa mchezo.Hernandez akiipatia Manchester United goli la tatu
Ryan Giggs akichonga penati dakika ya tatu baada ya mchezaji kuunawa mpira eneo la penati
Aaron Hughes akiunawa mpira ndani ya boksi na refa kusema mpira penati
Alex Kacaniklic (kulia) na Rafael wakioneshana umwamba.
VIKOSI:
Man United: De Gea, Rafael, Evra, Jones, Smalling, Anderson (Kagawa 71), Giggs (Valencia 71), Carrick (Scholes 61), Nani, Rooney, Hernandez
Subs not used: Lindegaard, Ferdinand, Welbeck, Van Persie
Goals: Giggs 3, Rooney 50, Hernandez 53, 66
Fulham: Schwarzer, Riise, Hangeland, Baird (Karagounis 46), Hughes, Riether, Sidwell, Duff (Rodallega 61), Kacaniklic, Berbatov, Ruiz (Dejagah 70)
Subs not used: Etheridge, Senderos, Briggs, Petric
Goal: Hughes 77
Referee: Mark Clattenburg
MATOKEO: RAUNDI YA 4
Subs not used: Lindegaard, Ferdinand, Welbeck, Van Persie
Goals: Giggs 3, Rooney 50, Hernandez 53, 66
Fulham: Schwarzer, Riise, Hangeland, Baird (Karagounis 46), Hughes, Riether, Sidwell, Duff (Rodallega 61), Kacaniklic, Berbatov, Ruiz (Dejagah 70)
Subs not used: Etheridge, Senderos, Briggs, Petric
Goal: Hughes 77
Referee: Mark Clattenburg
MATOKEO: RAUNDI YA 4
Ijumaa Januari 25
Millwall 2 Aston Villa 1
Jumamosi Januari 26
Stoke City 0 Manchester City 1
Norwich City 0 Luton Town 1
Macclesfield Town 0 Wigan Athletic 1
Derby County 0 Blackburn Rovers 3
Hull City 0 Barnsley 1
Middlesbrough 2 Aldershot Town 1
Brighton & Hove Albion 2 Arsenal 3
Reading 4 Sheffield United 0
Huddersfield Town 1 Leicester 1
QPR 2 MK Dons 4
Bolton 1 Everton 2
Manchester United 4 Fulham 1
RATIBA:FA CUP-RAUNDI YA 4
Jumapili Januari 27
[SAA 9 Mchana]
Brentford v Chelsea
[SAA 11 Jioni]
Leeds United v Tottenham Hotspur
[SAA 1 Usiku]
Oldham Athletic v Liverpool
No comments:
Post a Comment