BUKOBA SPORTS

Monday, January 28, 2013

FRANCIS CHEKA AKUNWA NA MABONDIA WA BUKOBA, BK SANDE NA HAFSA KAZINJA WAPAGAWISHA USIKU WA NDONDI LINA'S NIGHT CLUB!!

Bondia Francis Cheka akisalimiana na wakazi wa Kagera
Francis Cheka (kushoto) akiwasalimia mashabiki waliofurika ndani ya ukumbi wa Lina's Night Club
Baadhi ya wadau wa ngumi waliojitokeza usiku huo wa jumaosi ndani ya ukumbi wa Lina's Night Club
Mmoja wa wadau wapenda ngumi mkoni hapa akimkubali Cheka
Bondia Francis Cheka akionesha mikanda ambayo aliweza kuja nayo Kagera mbele ya mashabiki wake
Mdau akimpongeza F.Cheka 
Katibu wa chama cha ngumi mkoa wa Kagera Bw. Willy O. Rutta Kiroyera akiteta meza kuu na mgeni Rasmi Bw. Rugeiyamu Afisa Utamaduni wa Mkoa wa Kagera.
Bw. Muganyizi -Mkurugenzi wa Zachwa Investiment (kushoto) na kulia ni Francis Cheka




Hafsa Kazinja akiporomosha burudani ukumbini Lina's night Club

Burudani ikiendelea kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Zuku hafsa kazinja


Mdau Bw. Audax akiendelea kupata
Mtangazaji Mc
Wadau



BK sande akiwaburudisha Mashabiki wake ukumbini hapo



Francis Cheka ilibidi atoke kuja naye kushiriki baada ya kazi nzuri ya Bk Sande
Mwangalie Cheka akiendelea kucheza na Bk Sande
Mzee wa Sekido...











kushoto Bw. Jamali Jamco na yeye alikuwepo kujionea live
Mashabiki

Tahiya kulia na kushoto ni Angel wakiendelea kuangalia masumbwi
Masumbi siyo jambo la mchezo angalia sura za waheshimiwa hapa nao ni moja ya wanamasumbwi wa enzi hizo.

Mabondia wakiwa wanatupiana makonde


Nyimo mbalimbali za asili baada ya raundi ya mchezo wa kwanza kuisha zikiendelea kuimbwa
Ngoma ya Asili ikiimbwa kuwaburudisha mashabiki usiku
Wadau mbali mbali wakiendelea kushuhudia tukio hili kwa makini
Ndonga mwanzo mwisho hapa .... mjiandae Dar es salaam nakuja!!!
Bondia aliyeshinda kwa mpambano wa raundi ya tatu akibebwa na mafans wake juu juuu.
Mr. Francis Cheka na Bibie wakiteta kwa furaha ... na huku mke wake akisikilizia ndonga za ukweli..mhh
Mzee Chopolopolo na Hafsa Kazija wakishushana Presha..Lina's Night Club
Chipolopolo na wewe unajua kuimba kweli ....?
Mzee Willy Kiroyera na Familia yake wakiangalia masumbwi
Nd.Steve (Video Shooter) akichukua matukio
Dadaz wakichukua ukodak na Bukobasports.com

No comments:

Post a Comment