BUKOBA SPORTS

Saturday, January 26, 2013

HAPATOSHI LINA'S NIGHT CLUB LEO USIKU!!


Francis Cheka(kulia)  na Mtangazaji wa Radio Kasibante FM Bw. Abdulzack wakizipanga kuonesha jinsi itakavyokuwa usiku leo Lina's Night Club Bukoba. Kumbuka ni MAANDALIZI YA MAPAMBANO YA NGUMI JUMAMOSI HII, KUPATA TIMU YA MKOA WA KAGERA KWA AJILI YA MASHINDANO YA NGUMI ZA RIDHAA KITAIFA DAR ES SALAAM.

Mtangazaji wa Radio Kasibante FM Bw. Abdulzack (kushoto) akizungumza na bukobasports.com kuhusu mipambayo inayotarajiwa kuchezwa leo usiku Lina's Night Club. Wote wameshiba sijuhi kama watafikisha raundi ya 10 na 12
Mtangazaji wa Radio Kasibante FM akiteta na Francis Cheka kuhusu ujio wake hapa mjini Bukoba kwenye Hotel ya Bukoba Coop Hotel jana jioni.
Francis Cheka na Faustine Ruta wa Bukobasports.com wakipata Ukodak

Bw. Willy O.Rutta (kulia) ambaye ni katibu wa chama cha ngumi mkoa wa Kagera akiteta na wadau mbali mbali baada ya Francis Cheka kufika.
Bondia Francis Cheka akionesha mikanda ambayo alisha pata mpaka sasa
Bw. Willy O.Rutta (kulia) ambaye ni katibu wa chama cha ngumi mkoa wa Kagera akiangalia mikanda hiyo ambayo ni kielelezo tosha cha Francis Cheka cha ushindi mpaka sasa kwenye tasnia hii ya Masumbwi Tanzania.

Bw. Willy O.Rutta (kulia) ambaye ni katibu wa chama cha ngumi mkoa wa Kagera akifurahia kuona mikanda hiyo ya Francis Cheka
Bondia Francis Cheka akiwapa maelekezo kuhusu mikanda hiyo

No comments:

Post a Comment