MAMIA YA WAKAZI WA BUKOBA MKOANI KAGERA WALIVYOJITOKEZA KWA WINGI KUMPOKEA SHUJAA WA MASUMBWI " FRANCIS CHEKA"
Umati wa watu waliokuwa Mjini Bukoba kumuona Francis Cheka kwa mara ya kwanza hapa mkoani Kagera, ikiwa ni mara yake ya kwanza kutembelea hapa ambapo alikuja kuangalia wana masumbwi wenzie wa hapa mkoani Kagera. Raia wakiwa wamefurika kumuona Francis Cheka jana Kulia ni msanii wa muziki BK Sande (katikati) ni Francis Cheka na Kushoto ni Mwimbaji wa muziki aina ya Zuku Hafsa Kazinja wakiwa pamoja Mwangalie Francis Cheka kulia akiwa amejichanganya vyakutosha. Bk Sande akiwasalimia wananchi Hafsa Kazinja mama wa Zuku akiwasalimia wananchi Willy Kiroyera (kulia) na Hafsa kazinja
No comments:
Post a Comment