BUKOBA SPORTS

Monday, January 21, 2013

PICHA: WAREMBO WANAOWANIA TAJI LA MISS UTALII


Baadhi ya Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakiwa wanajitahidi kutabasamu mpaka Mwisho
Warembo hawa ambao ni washiriki wa Miss Utalii 2012/13 wakiwa wanajikakamua kutoa Tabasamu la Nguvu

Zoezi La kutabasamu Linaendelea Hapa
Ilikuwa ni Kazi sana Ambapo Washiriki wa Miss Utalii 2012/13 walikuwa kila mmoja akitaka tabasamu zaidi kama anavyo onekana Mshiriki wa kwanza Kushoto pamoja na anaemfuatia

Baadhi ya Washiriki wa Miss Utalii 2012/13

No comments:

Post a Comment