Ushindi huo wa Real umewafanya wafikishe
Pointi 40 wakiwa Pointi 7 nyuma ya Timu ya Pili Atletico Madrid ambao
jana waliifunga Levante Bao 2-0 kwa Bao za Adrian Lopez Alvarez, Dakika
ya 32 na Koke, Dakika ya 60.
Atletico Madrid wako Pointi 8 nyuma ya
Vinara Barcelona ambao juzi walipoteza Mechi yao ya kwanza ya La Liga
Msimu huu baada ya kuchapwa 3-2 na Real Sociedad.
Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kufunga goli 36
Angel Di Maria (kushoto) na Ronaldo wakishangilia baada ya kufunga magoli
Golikipa wa Valencia Diego Alves na difenda Adil Rami wakijaribu kuokoa mpira uliopigwa na Sami Khedira
Michael Essien akichuana na mchezaji wa Valencia jana usiku
Victor Ruiz (kushoto), akijaribu kuukinga mpira usichukuliwe na mpizani wake.
VIKOSI:
Valencia:
Diego Alves; Ricardo Costa, Rami, Victor Ruiz, Guardado; Gago (Barragan
45), Tino, Jonas, Banega, Piatti (Bernat 72); Soldado (Valdez 65)Real Madrid: Casillas; Arbeloa, Varane, Albiol, Centrao; Khedira (Callejon 75), Alonso (Essien 58), Di Maria, Ozil (Modric 67), Cristiano Ronaldo; Higuain
MAGOLI:
Valencia 0 vs Real Madrid 5
-Gonzalo Higuain Dakika ya 9
-Angel Di Maria 34 & 45
-Cristiano Ronaldo 36 & 41
MATOKEO:
Jumapili Januari 20
Malaga 1 Celta Vigo 1
Osasuna 2 Deportivo La Coruna 1
Real Valladolid 2 Real Zaragoza 0
Atletico Madrid 2 Levante 0
Valencia 0 Real Madrid 5
No comments:
Post a Comment