
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Dk Fenella Mukangara wakati wa ufunguzi wa michuano ya Kanda ya Tano Afrika ya Mpira wa Kikapu, iliyoanza leo kwenye Uwanja wa Ndani wa Taifa, Dar es Salaam.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema wakati wa ufunguzi wa michuano ya Kanda ya Tano Afrika ya Mpira wa Kikapu, iliyoanza leo kwenye Uwanja wa Ndani wa Taifa, Dar es Salaam.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na mchezaji wa Tanzania,
Abdallah Ramadhan 'Dullah' katika ufunguzi wa michuano ya Kanda ya Tano
Afrika ya Mpira wa Kikapu, iliyoanza leo kwenye Uwanja wa Ndani wa
Taifa, Dar es Salaam.Mchezaji wa timu ya kikapu ya, Kenya Pority Auma akimiliki mpira mbele ya wachezaji wa tanzania wakati wa ufunguzi wa mashindano ya kanda tano Afrika yaliyozinduliwa Dar es salaam jana kenya ilishinda 74 kwa 32
Mchezaji Gerald Baru wa Tanzania akimtoka Maunga Henry wa Uganda kwenye mchezzo wa kikapu wa kanda ya tano uliochezwa uwanja wa ndani wa Taifa jijini Dar es salaam jana jioni.
No comments:
Post a Comment