HAFRA YA KULA CHAKULA CHA MCHANA NA WATOTO YATIMA, ILIYOANDALIWA NA JUMUIYA YA WAFANYAKAZI KASIBANTE FM RADIO LEO TAREHE 14.02.2013
Watoto Yatima Hafra hii ilitanguliwa na ngoma ya KihayaWapiga ngomaWahaya mpoo...chenkula hiyo...
mhh... Watoto Walemavu wa ngozi nao walikuwepo Ngoma ikiendelea Dada Jackline mwakilishi wa -TULAWAKA Bw. Bahati Mwambene mgeni rasmi - kutoka TULAWAKA Bw. Richard Leo Meza kuu - wageni rasmi Dada Jackline na Bw. Mwambene Watoto yatima wakisoma majarida Muziki ukiendelea Msanii wa Nyumbani Bk Sande na yeye alikuwepo kutumbuiza hafra hiyo mchana Mtangazaji wa Radio Kasibante FM dada Abella akizungumza na umati huo na kuwakaribisha wageni Baadhi ya waandishi wa habari wakichukua picha (kulia) ni Bw. Steven, katikati ni Husein Kulia ni Bw. Richard Leo akionekana kufurahia hafra hiyo leo. Saa ya msosi ilifika....
Leo vipi mwenzangu, ume enjoy eeee..... Hapa ni kula tuu... msosi mtamuuuu.... leo ni leo.... mambo ya 5 hayo.... mpoooo
No comments:
Post a Comment