BUKOBA SPORTS

Friday, February 22, 2013

ROBERTO MANCINI AWAPA SOMO MAALUM AGUERO, TEVEZ NA SILVA ILI KUISHUSHA UNITED!!!

KOCHA  wa Manchester City amewaongezea wachezaji wake muda mwingi wa mazoezi na sasa watafanya kutwa mara mbili, lengo ni kutaka kuishusha Manchester United kileleni mwa msimamo wa ligi kuu England. Wachezaji hao watatu pamoja na Maicon watajinoa na gym kabla ya mazoezi na wenzao. Dozi hiyo ilianza siku tatu zilizopita, Ili kutetea ubingwa wao.Meneja huyo wa  Man City, pamoja na Wachezaji wake kadhaa, mara baada ya kuchapwa Bao 3-1 na Southampton Wiki iliyopita wamekuwa wakisisitiza Man United itateleza na kupoteza Pointi kama walivyofanya Msimu uliopita walipokuwa Pointi 8 mbele na Mechi 6 kubakia na kukamatwa na City mwishoni mwa Msimu na City kutwaa Ubingwa kwa tofauti ya Magoli.
Akikiri kuwa hata yeye angetumia mbinu hizo hizo, Feguson, Gwiji la vita ya Kisaikolojia katika kusaka ushindi kwenye Soka, ametamka: “Uzoefu wangu unaniambia kila Timu itapoteza Pointi. Najua wao wanasema sisi tutapoteza Pointi na mie nasema na wao pia watapoteza Pointi. Huwezi kuepuka. Ni Ligi ngumu na si rahisi kushinda Mechi zako zote. Kwa sasa tuna mwelekeo mzuri hivyo tunaenda Mechi kwa Mechi.”

Man United hawajafungwa katika Mechi zao zote 16 walizocheza mwisho na kati ya hizo wameshinda 12 na Ferguson amesema: “Kushinda Mechi inayofuata ndio kitu pekee tunaweza kufanya.”
Unfulfilled: Roberto Mancini believes Samir Nasri (right) needs to work harder to be one of the best
Roberto Mancini believes Samir Nasri (right) needs to work harder to be one of the best
Putting the boot in: Mancini said if goalkeeper Joe Hart under performs, he will be dropped
Mancini said if goalkeeper Joe Hart under performs, he will be dropped
Ambitious: Mancini says he would love to manage England at some point in his career
Mancini says he would love to manage England at some point in his career
Eyes on the prize: Mancini said he would expect to be knighted if he won a trophy for England
Mancini said he would expect to be knighted if he won a trophy for England
Heads up: Rooney has missed some training this week due to illness but was full of beans in training, especially when he went in for the ball with Patrice EvraRooney alikosa kwenye mazoezi siku kadhaa lakini leo Ijumaa ameonekanaHeads up: Rooney has missed some training this week due to illness, but was full of beans in training, especially when he went in for the ball with Patrice Evra
Rooney akifanya mazoezi na Evra.


RATIBA: BARCLAYS PREMIER LEAGUE
Jumamosi Februari 23
[Saa 9 Dak 45 Mchana]
Fulham v Stoke City
[Saa 12 Jioni]
Arsenal v Aston Villa
Norwich City v Everton
Queens Park Rangers v Manchester United
Reading v Wigan Athletic
West Bromwich Albion v Sunderland
 

Jumapili Februari 24
[Saa 10 na Nusu Jioni]
Manchester City v Chelsea
Newcastle United v Southampton
Jumatatu Februari 25
[Saa 5 Usiku]
West Ham United v Tottenham Hotspur

No comments:

Post a Comment