BUKOBA SPORTS

Wednesday, March 27, 2013

MSTAHIKI MEYA WA MANISPAA YA ILALA MH.JERRY SILAA AZINDUA RASMI ZIARA YA KUTEMBELEA MAKUMBUSHO YA KIHISTORIA KATIKA MANISPAA YA ILALA.


Juu na chini ni Washiriki wa Miss Utalii Tanzania Taifa 2012/13 wakiwa katika eneo maalum ambapo Ndipo harakati za kutafuta Uhuru wa Tanzania zilikuwa zikifanyika.


Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012/13 Taifa wakiwa katika Moja ya Kumbukumbu hizo

Rais wa Miss Utalii Tanzania Ndugu Erasto G. Chipungahelo, akielezea kwa kina juu ya mashindano ya Miss Utalii Tanzania 2012/13 na kumshukuru Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Jerry Silaa kwa kuwakaribisha katika Manispaa Hiyo.

Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakiwa katika Picha ya Pamoja

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Muheshimiwa Jerry Silaa akiwakaribisha washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012/13 katika Manispaa ya Ilala

Mmoja wa washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012/13 , kutoka Kanda Maalum ya Zanzibar akitoa Shukurani kwa niaba ya Warembo wenzake

Muheshimiwa Jerry Silaa Akizungumza na Washiriki wa Miss Utalii Tanzania

No comments:

Post a Comment