SIMBA HOI..ALAMBISHWA SUKARI NA WAKATA MIWA KAGERA SUGAR LEO, ACHAPWA BAO 1-0 KAITABA STADIUM!!
Kikosi cha Simba Kikosi cha Kagera Sukari Waamuzi wa leo hii waliochezasha mpambo Matumaini ya mabingwa watetezi Simba kumaliza Ligi Kuu katika nafasi 2 za juu yametiwa doa na Kagera Sugar katika uwanja wa Kaitaba baada ya kupoteza kwa bao moja kwa bila. Bao la ushindi katika mchezo huo lilitiwa kimiani na Amandus Nesta katika dakika ya 46 baada ya mabeki wa Simba kushindwa kuuondosha mpira katika hatari. Simba ambao kipindi cha kwanza walicheza mchezo wa kuvutia walionekana kupoteana kipindi cha pili huku mabeki wa Kagera Sugar wakifanya kazi ya ziada kuwadhibiti Mrisho Ngassa na Ramadhan Singano. Katika mchezo mwingine Azam imezidi kuwaacha kwenye mataa Simba baada ya kuibuka na ushindi wa mabao matatu kwa bila dhidi ya Prisons. Simba sasa inajiandaa kwenda jijini Mwanza kwa ajili ya mchezo mwingine wa Ligi Kuu dhidi ya Toto Africans Waamuzi na makapteni wakiteta jambo Benchi la Kagera Sukari Benchi la Simba Wadau wakifuatilia soka
Tangu Mechi ianze kocha huyu wa Simba alionekana kuwa na mawazo sana
Kocha wa Kagera Sugar King Kibadeni Wachezaji wakisalimiana Viongozi mbalimbali wakicheki soka leo hii Kocha wa Simba akiwapa maelekezo wachezaji wake leo Kaitaba Wapenzi wasoka.. Mashabiki Jembe lililosababisha kichapo Simba likiteta na Kocha wake King Kibadeni Usipime hapa... Bw. Charles akiteta jambo na Kiongozi Bwana Yusuph kwenye mtanange wa leo kati ya Kagera Sukari na Simba Taswira ya Uwanja wa Kaitaba unavyofanana ambao unauwezo wa Kuingiza watu 3,000 Mtanange ukiendelea Mchezaji wa Kagera Sukari akiangaliwa baada ya kuumia
Mashabiki upande wa jukwaa la Barimi
Wadau mbalimbali wa Soka
No comments:
Post a Comment