BUKOBA SPORTS

Friday, May 17, 2013

HAPATOSHI KESHO JUMAMOSI UWANJA WA TAIFA, SIMBA NA YANGA KUONESHANA KAZI!!


Mashabiki wa Yanga, Kuendelea kurekodi matukio ya furaha Jumamosi??

Mashabiki wa Simba.....Je Kuendelea na furaha hii kesho Jumamosi???

Mashabiki wa Yanga, Je Simba kupakatwa Jumamosi au?

Tiketi kwa ajili ya pambano la Ligi Kuu ya Vodacom kati ya Simba na Yanga litakalochezwa kesho(Jumamosi) kwenye Uwanja wa Taifa zinaanza kuuzwa leo (Ijumaa) kwenye vituo mbalimbali jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment