BUKOBA SPORTS

Wednesday, May 29, 2013

HAWA NDIYO WASHIRIKI WA REDD'S MISS MULEBA WATAKAOCHUANA VIKALI TAREHE 31.05.2013 NDANI YA WAISUKA PUB.

Mshiriki wa Redd's Miss Muleba Linah Mutayoba kutoka Nshamba(1)
Mshiriki wa Redd's Miss Muleba Francisca Justine kutoka Rubya(2)
Mshiriki wa Redd's Miss Muleba Lainess Sebastian kutoka Muleba Kagoma(3)
Mshiriki wa Redd's Miss Muleba Redemptery Rudovic kutoka Kishanda(4)
Mshiriki wa Redd's Miss Muleba Lucy Norbert kutoka Kishanda(5)
Mshiriki wa Redd's Miss Muleba Jadida Hussein kutoka Muleba(6)
Mshiriki wa Redd's Miss Muleba Illuminatha Dominick kutoka Rubya(7)
Mshiriki wa Redd's Miss Muleba Asmah Athuman kutoka Muleba(8)
Mshiriki wa Redd's Miss Muleba Belina Rupenda kutoka Muleba(9)
Mshiriki wa Redd's Miss Muleba Hidayah Juma kutoka Kishanda(10)

Warembo watakaoshiriki shindano la Miss Redd's Muleba 2013, siku ya Ijumaa Mei 31, mwaka huu ndani ya Ukumbi wa Waisuka Pub Muleba kwa kiingilio cha shilingi 15,000 kwa viti maalum na shilingi 10,000 kwa viti vya kawaida.

No comments:

Post a Comment