LINEX KUTAMBULISHA NGOMA YAKE MPYA RIZIKI YANGU FEAT WYRE NDANI YA XXL YA CLOUDS FM
Kupitia kipindi cha XXL Clouds Fm, leo hii the VOA, Linex atatambulisha single mpya akiwa na mmoja wa wasanii kutoka Kenya ambao yeye anawakubali"Wyre" single inaitwa "Riziki yangu".
No comments:
Post a Comment