
Washiriki wa shindano la Redd's Miss Muleba 2013 wakiwa
katika picha ya pamoja wakati wa mazoezi yao yanayoendelea katika kambi yao. Warembo 10 wa wilaya hiyo, watapanda jukwaani
Ijumaa hii kuwania taji hilo na washindi wa tatu wataiwakilisha Muleba
katika shindano la Redd's Miss Kagera na baadae Redd's Miss Lake Zone 2013.

Washiriki wa Redd's Miss Muleba wakimsikiliza kwa makini matroni wao ambaye ndiye Miss Redd's Muleba 2012/Miss Redd's Kagera 2012/Miss Talent Lake Zone 2012 pia ndiye Redd's Miss Talent Tanzania 2012 BABYLOVE KALALAA.

Mkufunzi/Matroni wa Miss Muleba akiwaambia warembo wake "watulize presure kwani mambo yote ni siku ya kesho jukwaani"
No comments:
Post a Comment