MOTO WATEKETEZA DUKA USWAHILINI BUKOBA USIKU WA JANA NA KUSABABISHA HASARA KUBWA
Ni mabaki ya vitu vilivyoteketea kwa moto baada ya duka la mfanyabiashara aliejulikana kwa jina la baba sima kuungua maeneo ya uswahilini karibu na maua gest
duka lililoungua moto lipo uswahilini barabara ya maua gest,inasemekana machinga wengi wa mtaa huo walikuwa wakiweka mizigo yao katika duka hilo wakifunga shughuli zao muda wa jioni chanzo cha moto hakijafahamika, ila kwa habari zisizo rasmi inasemekana na tatizo la umeme baadhi ya vitu vilivyookolewa kutaka katika duka la baba sima ilimradi kilikusanywa kila kilichoonekana hakijaungua baba sima mwenye duka (kushoto) akifarijiwa wayuka baba sima ebintu mbiigwa orwo omoyo gwaunga( ONGERA BABA SIMA VITU UTATAFUTA BORA UZIMA ni maneno ya mama akimfariji tunakupa pole sana baba sima
No comments:
Post a Comment