BUKOBA SPORTS

Monday, May 20, 2013

REDD'S MISS MULEBA KUPATIKANA 31-5-2013,TID NA DYANA NYANGE KUSINDIKIZA WAREMBO WAISUKA MULEBA

Redd's Miss Kagera 2012 Baby Kalalaa ndiye atakaye simamia swala zima la mazoezi ya warembo hao ambao leo jumatatu wanaanza kuwasili kambini. Kamati ya maandalizi Redd's miss Muleba mapema leo imeanza kupokea warembo kwa ajili ya kambi inayoanza rasmi leo jumatatu Warembo 12 kutoka vitongoji vya Rubya, Kishanda, Kamachumu, Nshamba, Kamishango, Kibanga, Mbunda, Buleza, Kagoma, Gwanseli na Muleba mjini watachuana vikali 31-5-2013 kwenye ukumbi wa Waisuka Muleba.Mshiriki kutoka kamishango kaishawasili
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Tid Dayna Nyange kuwasha moto siku hiyo

No comments:

Post a Comment